Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Pakistan imefanya jaribio la pili la kombora la masafa marefu huku Iran ikimtuma waziri wake wa mambo ya nje kujaribu kuyapatanisha mataifa hayo mawili yenye silaha za nyuklia / Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu leo kimezindua ripoti yake ya 23 inayoangazia hali ya haki za binadamu nchini Tanzania kwa mwaka 2024