Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump amesema Marekani itauchukua Ukanda wa Gaza uliyoharibiwa na vita na kuunda "Eneo maalumu la pwani ya mapunziko ya Mashariki ya Kati" / Aliyekuwa kiongozi wa kiroho kwa mamilioni ya waumini wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia ya Ismailia, Aga Khan amefariki dunia.