Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Aliyekuwa naibu wa rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amelazimika kuahirisha uzinduzi rasmi wa chama chake kipya cha Democracy for Citizens Party, DCP / Wito umetolewa kwa nchi za Afrika kuhakikisha huduma ya teknolojia ya kisasa inapatikana kwa urahisi kwa wote