Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema nchi yake inaunga mkono juhudi za Lebanon za kuishinikiza Israel kukomesha ukaliaji wake wa kijeshi / Hali ya utulivu imerejea katika mpaka wa Kenya na Somalia baada ya visa vya mauaji na utekaji nyara kuripotiwa katika siku za hivi karibuni