Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, jana alikutana na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman mjini Riyadh, siku ya kwanza ya ziara ya siku tatu Mashariki ya Kati/ China imeijibu Marekani kwa kuongeza ushuru wa hadi asilimia 15 kwa bidhaa maalum za Marekani