Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linajiandaa kufanya kikao cha dharura siku ya Ijumaa, kuujadili mgogoro wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo+++Mazungumzo ya awamu ya pili ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza yameanza, huku Israel ikisema itapeleka ujumbe wake nchini Qatar baadaye wiki hii.