Mahakama nchini Marekani yazuia kwa muda amri ya rais ya kuwazuia wahamiaji kutoka mataifa ya Kiislamu, Marekani yaiwekea vikwazo vipya Iran, Ufaransa yatoa taarifa mpya kuhusu mtuhumiwa wa uhalifu wa makumbusho la Louvre na Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo yailalamikia Umoja wa Mataifa dhidi ya ujio mpya wa M23.