Sura mpya inajitokeza katika siasa za vijana wa Kenya maarufu kama Gen Z. Chama cha kisiasa kinachoongozwa na vijana kilichopewa jina ‘47 Voices of Kenya Congress’, kimeingia rasmi kwenye uwanja wa siasa// Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaambia wananchi wa jimbo lake la Ruanga hapo jana kwamba hatagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao.