Idadi ya Wapalestina waliouwawa katika mashambulizi kadhaa yaliyofanywa na jeshi la Israel kwenye maeneo mbalimbali katika Ukanda wa Gaza imefikia zaidi ya watu tisini// Wizara ya Ulinzi ya Urusi imethibitisha leo kuuawa kwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Wanamaji, Meja Jenerali Mikhail Gudkov, katika eneo la mpaka wa Kursk linalopakana na Ukraine.