Wanaharakati wa Kenya na Uganda ambao waliwekwa kizuizini Tanzania wadai kuwa ''walinyanyaswa kingono''++ Mazungumzo ya Urusi na Ukraine yaliyofanyika Uturuki hayajafikia makubaliano ya kumaliza vita ++Na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lamchagua rais mpya wa baraza hilo.