Viongozi wa Umoja wa Ulaya waliokutana mjini Brussels hii leo wameonya kuwa hakutakuwa na mshindi katika vita vya kibiashara na Marekani, wakisisitiza kujibu ikiwa Rais Donald Trump atatangaza ushuru dhidi yao+++Mamlaka ya afya katika mji wa Mbale ambao ni mji kuu wa mashariki mwa Uganda imethibitisha kuwa watu watano wanaugua ugonjwa hatari wa Ebola.