Kwenye taarifa ya habari asubuhi ya leo utasikia Marais wa Ufaransa na Urusi wamezungumza kwa simu kujadili masuala ya Ukraine na Iran +++ Israel yatanua kampeni ya kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza kabla ya ziara ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu nchini Marekani +++ Bunge la Venezuela lamzuia Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN kuingia nchini humo. Kaa nasi kusikia zaidi