Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar amelaani shambulizi lililofanywa dhidi ya waandamanaji huko Colorado, Marekani / Mhafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa Poland kwa tofauti ndogo ya kura na sasa yeye ndiye rais mpya wa taifa hilo la Ulaya