Miongoni mwa habari unazoweza kuzisikia asubuhi hii ni Rais Donald Trump kumteua mshauri wake wa usalama wa taifa kuwa balozi kwenye Umoja wa Mataifa | Kiongozi wa Kiroho wa Jamii ya Druze alaani mashambulizi dhidi ya jamii hiyo na kutaka uingiliaji wa kimataifa | Na China yasema inatathmini pendekezo la Marekani la mazungumzo kuhusu ushuru huku ikisisitiza uaminifu.