Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jeshi la China limesema limefanya mazoezi ya kuzilenga bandari muhimu na vituo vya nishati / Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, imemteua Massad Boulos kuwa mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya Afrika, Arabuni na mashariki ya kati