Karibu kusikiliza taarifa ya habari ya asubuhi. Miongoni mwa utakayoyasikia ni Rais wa Marekani Donald Trump asaini amri ya ushuru mpya kwa mataifa washirika wa kibiadhara | Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wafanya mkutano wa kwanza wa kamati ya pamoja ya usimamizi chini ya makubaliano ya amani | Syria yaunda kamati ya kuchunguza mashambulizi dhidi ya rais katika ghasia ya kidini.