Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchi mbali mbali barani Ulaya zakabiliwa na joto na jua kali na kuathiri shughuli mbali mbali ikiwemo shule kufungwa / Mgahawa washambuliwa kwa bomu, waliokuwa wakitafuta msaada wauawa kwa risasi - zaidi ya watu 70 wauawa Gaza katika saa 24 za mashambulizi ya Israel