Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mashambulizi ukanda wa Gaza yamekuwa ya kila siku tangu Israel ilipoanzisha tena operesheni za kijeshi mnamo Machi 18 / Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumeanzishwa harakati za kumwondolea kinga ya kisheria Rais wa zamani Joseph Kabila ili ashtakiwe kwa madai ya kuwaunga mkono waasi wa kundi la M23