Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock amewasili Kiev leo katika kuonyesha uungaji mkono kwa Ukraine / Watu wapatao wawili wameuwawa katika shambulizi kwenye kambi ya wakimbizi katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan